(aisee ni ngumu sana mpaka upate TSD WANGU)ILA NENDA WILAYANI UJARIBUMimi ni mwl.ajira mpya,sijapata TSD,nimepata mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi,,,je inawezekana bila TSD?
Anayetaka KASULU kutoka
bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati korogwe,handen, arusha na dodoma idara ya sec
tuwacliane.
Wadau nipo SERENGETI MARA anaetaka kuja huku akitokea Nzega, Sengerema au Mwanza jiji anijulishe kupitia 0688819660 au 0754623199 au zachariamagige@gmail.com kama anatokea Mwanza Jiji atapata jiko dogo laa gesi kitanda na godoro la futi 5/6
Haya kwa mara nyingine tena Walimu wale wa IDARA ya MSINGI kutoka Halmashauri ya M/Songea, M/Njombe, Manispaa ya Mtwara na Mji Mdogo Makambako kwa wanaotokea mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Kagera, Geita, Tabora na Kigoma na anahitaji kuhamia Halmashauri ya wilaya ya karibu na kwao aje hapa Mbogwe. Kwa mawasiliano zaidi 0763053058. Bhabheja sana.