Jamani hakuna anae taka kuja Ilala?
Vip,ukija iringa wilaya ya mufindi?
Mimi nipo morogoro -mikese secondary nahitaji kuhamia dar wilaya ya kinondon.. Tutafutane kwa no; 0753617960 au 0754642242
mwl wa ushetu-shinyanga anatafuta mwl wa kubadilishana naye. contact zake 0758788208
NJOO iramba-kiomboi nije mbeya mjini,vijini au mbarali 0762078708