WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo mwanza nije moro wilaya yeyote au pwani au dar. Idara ya sekondari. 0767292827
 
njoo Mbulu me nije nyamagana au ilemela idara ya sekondari..... nipm 0718278465....
 
njoo mwanza sengerema aje pwani wilaya ya bagamoyo kibaha au kisarawe 0766590855
 
Nipo halmashauri ya songea msingi.
Naomba kubadilishana kituo cha kazi kwa alie tayari kuja huku SONGEA mimi nije mikoa ya MOROGORO,TANGA AU PWANI.
Mawasiliano.
0787552918.
0713552918.
 
Njoo kilwa,,dogo aje dar au Bagamoyo,kibaha.idara ya sekondari....
 
Njoo newala mkoa mtwara nije arusha,manyara, kilimanjaro wilaya zozote, idara ya sekondari, nichek 0784 535 260.
 
Anayehitaji kuhamia idara ya msingi NZEGA TABORA kutokea Arusha:K'njaro: Dar😀om: Manyara ani-PM nimuunganishe na rafiki yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…