WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo tandahimba mtwara nije mbeya au sumbawanga manispaa idara shule ya msingi
0765742066
 
Rafiki yangu yupo Rombo-kilimanjaro idara elimu msingi,anatafuta wa kubadilishana nae wakutoka Pwani wilaya yoyote isipokuwa Mafia &Jiji la Dsm.Pg au bp 0755449672.
 
Kwa aliye Tayari tubadilishane na Pia kama kuna aliye maeneyo ya Marangu na anataka kuja Lugoba Bagamoyo piga 0759063942 ,0712336687
 
Idara sekondari,Njoo Lugoba Bagamoyo Pwani mie nije Kilimanjaro na no zangu ni 0759063942 au 0712336687
 

Jamani nina mdogo wangu kapangiwa Wilaya ya Kishapu mkoa wa Shinyanga ualimu wa primary anataka mtu wa kubadlishana nae kwny mikoa ya Arusha,moshi na Tanga wilaya yeyote.Tafadhali niPM kama unatapenda kubadilishana nae
 
Kwako wewe mwl mwenzangu uliyopo idara ya secondary, unayependa kuja WILAYA YA NAMTUMBO,mimi nije morogoro(wilaya yoyote),kibaha,bagamoyo,kisarawe. nicheki 0713320319,0757036642,0787057347
 
Njoo Singida (V),nije Halmashauri Ya Mji Wa Kahama Au Kinondoni Dar Idara Ya Msingi,0759379038
 
HaShafa; namwomba rafiki yako aje tanga handeni ni karibu na pwani pia dar
 
mm nupo butiama mkoa wa mara nataka kwenda arusha au moshi idara ya msingi
 
mm nipo butiama mkoa wa mara nataka kwenda arusha au moshi idara ya msingi namba zangu ni 0758721365
 
njoo MWANZA~ MAGU kwenu, me niende ARUSHA~ARUMERU au MERU au TANGA~ KOROGWE , msingi call me 0789296522
 
idara msingi
njoo singida -Iramba(shelui) nije popote mkoa wa pwani yaani bagamoyo,kibaha,rufiji,kisarawe au mkuranga. Au Dar
Kama upo tayari ni PM.
 
Njoo tabora nije popote kati ya dodoma,morogoro,iringa,njombe,mbeya,rukwa sumbawanga au ruvuma. Idara ya sekondari 0686687221
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…