WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo jiji la Mwanza Nyamagana (kata ya Pamba). Idara ya sekondari. Kama upo DSM, mji wa KIBAHA, BAGAMOYO au MOROGORO tuwasiliane ili tubadilishane vituo vya kazi. Mawasiliano: 0756 808875
 
Nipo jiji la Mwanza Nyamagana (kata ya Pamba). Idara ya sekondari. Kama upo DSM, mji wa KIBAHA, BAGAMOYO au MOROGORO tuwasiliane ili tubadilishane vituo vya kazi. Mawasiliano: 0756 808875
 
Nipo jiji la Mwanza Nyamagana (kata ya Pamba) idara ya sekondari. Kama unatoka moja kati ya halmashauri zifuatazo:- DSM, mji wa KIBAHA, BAGAMOYO AU MOROGORO tuwasiliane ili tubadilishane vituo. Mawasiliano: 0756 808875 au 0784 821973
 
Tena kuna mmoja anajiita mwalim baraka huyu ni tapeli mkubwa namba zake ni 0765398571 huyu anajifanya kapata uhamisho wa dharura kutoka kwa huyu Anajiita mzee wa tamisemi namba yake ni 0758987092 na mwingine yupo humu humu yeye kazi yake kukuunganisha kwa hao matapeli wenzie namba zake ni 0763438098 huyu hujifanya yeye yuko Dar sekondar ya wazo ukimwambia ww ni idara ya sekondar anakwambia yy yuko msingi labda akuunganishe na wasekondar hapo ndo anakupeleka kwa hao matapeli wenzie.KUWENI MAKINI JAMANI USIPOTAPELIWA KWA JIA HIYO UTATAPELIWA KWA NJIA NYINGINE.

Ukiiona unaetaka kubalishana nae anaingiza maswala ya pesa jua huyo mwizi.
Walimu wengi wametapeliwa.
 
Niko Manispaa ya Shinyanga idara ya sekondari,Kwa yeyote ambaye yuko Mbeya (Mbeya jiji,Mbozi,Mbeya V) anataka tubadilishane,aje Shinyanga manisapaa nami niende Mbeya tuwasiliane: 0784 33 54 40
 
Asante Xna Umenfumbua Nlibaki Kdogo Ntapeliwe Na Mzee Mmoja Anajiita Mzee Erasto Yupo Tamisemi Na Hzo Namba Nnazo Zote Eti Ndio Waunganshaj Eti Unatuma 150,000/= Kwanza Kwajl Ya Hatua Za Awal Then Ukpata Barua Unamalizia Lak 2. Tena Uhamsho Ndan Ya Wk 3 Au 4 Unakuwa Unabarua Zote, Wiz Mtuupu.
 
Ninaitwa mwl cesilia j milandu (grade a),wa manispaa ya sumbawanga, ninatafuta mwalimu wa grade a toka wilaya ya arusha,tubadilishane vituo vya kazi,yeye aje manispaa ya sumbawanga na mimi niende wilaya ya arusha (arusha dc).
 
Mm mwl wa sekondari natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka bagamoyo kwenda dar.
 
Mimi ni afisa mtendaji Kata. Niko Nachingwea Lindi. natafuta mtendaji wa kubadilishana nae. pm plz
 
any afisa mtendaji who is ready to come Nachingwea Lindi...... pm please.......
 
Nipo Magu Mwanza idara ya Msingi, nichek 0682 279435 kama uko kibaha, mkuranga, bagamoyo, au morogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…