WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi kuja Maswa anahitajika kutoka mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Dodoma, Mbeya mjini mbeya vijijini , Tukuyu, Busokero, Dodoma na mwanza. kwa mwenye uhitaji nPM haraka mchakato uanze. Upatapo taarifa hii mwambie na mwenzako mwenye uhitaji.Nyote mbarikiwe na Bwana Mungu.
 
Mimi niko morogoro Kilosa ni mwalim natafuta mtu anayefundisha Mwanza tubadilishane
 
Mwalimu wa pri au sec ? Na una masomo gani? Kuna jamaa yangu kapangwa mwanza na anataka kurudi moro
 
Mm mwalumu msingi MANISPAA ya SUMBAWANGA natafuta mwal toka ARUSHA DC tubadilishane
 
Nipo kigoma ujiji manispaa idara ya sekondari naomba kubadilishana na Mwl Wa Mbeya jiji kwa aliye tayari anitafute kwa namba 0755013524
 
Idara Msingi niko singida iramba(shelui) kwa mwalimu kutoka mkoa wa pwani wilaya yeyote.
Mkuranga,kibaha,Fufiji,bagamoyo kisarawe tuwasiliana tuanze mchakato.
 
Mwl.yupo ushetu Kahama idara elimu msingi anatafuta mwl. wa kubadilishana nae vituo vya kazi, aliyetayari kutoka Mkalama Singida pga au bp 0684 71 18 18 nikuunganishe!
 
nipo mufindi iringa shule ya msingi nyololo umeme na maji tele
naomba kubadilishana na mwalimu aliye wilaya ya babati
shule yoyote Mawasiliano 0755010609
 
Last edited by a moderator:
mm ni mwalimu wa msingi. wilaya ya makete iringa.natafuta mwl wa kubadilshana nae aliyeko mkoa wa tanga wilaya yyt
 
nipo musoma mjini manispaa nataka kuhamia moja ya mikoa ifuatayo Tanga jiji, Morogoro mjini,DSM,Dodoma mjini,Pwani (Mkuranga,kibaha)
0784814896.
 
Idara gani?,msingi au sekondari? Kama sekondari nicheki ktk namba hii 0783677207,ndugu yangu yupo Tarime mjini anataka kusogea mikoa ya pwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…