WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Habari zenu walimu
Ninamatumaini ni wazima na mnaendelea vizuri kabisa na shughuli zenu za kazi popote mlipo.nawatakia kazi njema nashughuli njema.
Kuna jambo nataka kuwashauri,mwanzoni kabisa wa hii page kuna maelezo ya kina na mwandishi ametadharisha kuhusiana na kutoa namba na akasema ukiweka namba itakuwa at your own risk,nilimwelewa lakin tafsiri yangu ilikuwa tofauti ila kwa ss nimemuelewa zaidi na nataka kuwashauri kwani mm nimestuka mapema .inawezekana wenzangu bado.
Kuna watu wanachukua namba hapo kisha anakutumia sms.
Mfano:
"Habari yako mzima mm nilifanikiwa kuhama na kwa ss nipo tumbi.asanthe".
Hiyo sms ni ya mtego,akijua kabisa utamtafuta kumuuliza alifanikiwa vipi kuhama.na nikweli ndivyo inavyokuwa,ukishampigia atakupa maelezo na kukwambia kuwa kuna mtu alimsaidia.na kwa kumuamini utamwambia mwambie jamaa nae akusaidie.kumbe ndo unaliea bila kujua.
Huu ni mtandao,atakupa namba ya mtu mwingine na mtaanza kufanya mchakato atakuambia kuna gharama kiasi fulani.na kwa kuwa yule mtu wa kwanza alikuhakikishia bhasi utajikuta umetuma pesa na matokeo yake utakuwa umetapeliwaaa.
Kuweni makini na hili.kwanza jiulize ukiona hyo sms
Je aliyekutumia unamfahamu
Je kama hakufahamu namba yako alipata wapi
Na je kama humfahamu amekutumia hyo sms kwa maana gani?.
Kuna watu wanataka kunufaika kupitia shida zetu tuwe makini na tusikurupukeee.
Nawatakia jioni njemaaa
 
:welcome:Mwl MANASE G. MMBAGA toka mkoa wa SIMIYU wilaya ya BARIADI,natafta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kwa shule za MSINGI wilaya yoyote kwa mikoa ya ARUSHA,TANGA na DAR. Mawasiliano 0757-279199
 
Mwl CHACHA MWITA MAKORI wa s/m MWAMAPALALA wilaya ya ITILIMA mkoa wa SIMIYU natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi kutoka wilaya za TARIME,MUSOMA MJINI,BUNDA na MAGU mawasiliano- 0759825429:fencing::fencing::fencing::fencing:
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondari.0684122208.
 
Upo sahihi ndugu,leo mimi nimetumiwa hiyo sms,nikamuuliza ulifanikiwaje ajibu afisa elimu kibaha alimuelekeza mtu Dodoma ndo akamsaidia.Kwa kuwa simjui nikamwambia hongera!,hakujibu kitu.Lakini yote haya yanasababishwa na mfumo uliopo!
 
Nipo wilaya ya KAHAMA,natafuta mwalimu wa kubadirishana kituo cha kazi upande wa IRINGA.Idara Sekondari.Ni PM au niandikie sms 0684122208.
 
Nipo wilaya a KAHAMA,natafuta mwalimu wa kubadirishana kituo cha kazi upande wa IRINGA.Idara Sekondari.Ni PM au niandikie sms 0684122208.
 
Njoo Rungwe/Tukuyu Mbeya nije Tanga mjini, Lushoto, Korogwe,Muheza,DSM, Kibaha, Bagamoyo.
0712016405
 
Watu wa Kigoma mbona hamtaki kurudi kwenu jaman? Usidharau kwenu hata kama hapajawekwa umeme ni kwenu tu. Njoo Buhigwe-Kigoma me nirudi zangu Mbeya jiji Idara sekondari, if interested ni pm thn inskuwa makini.
 
Nipo Kagera,mwl,wa Handeni,Korogwe,Rufiji,Mvomero,Kilosa,Kilombero tubadilishane!
 
Upo sahihi ndugu,leo mimi nimetumiwa hiyo sms,nikamuuliza ulifanikiwaje ajibu afisa elimu kibaha alimuelekeza mtu Dodoma ndo akamsaidia.Kwa kuwa simjui nikamwambia hongera!,hakujibu kitu.Lakini yote haya yanasababishwa na mfumo uliopo!

kweli kabisa kaka mimi nishapambana nao mara nyingi cha msingi walimu kuweni makini
 
Jamani nashauri tuwe makini na matapeli ukipigiwa au ukitumiwa ujumbe wa maandishi uchunguze mara tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…