Mke ndo anamfuata mme,mke wako akujoin huko.Maisha ni popote palevp wadau. kwa mwl yeyote secondari anaetaka kuhamia Tukuyu Mbeya mi nije Dar ani pm. shule ipo pazuri. sababu kuu ya mm kuhama ni kumfuata wife
pole mkuu. sasa wewe ndiyo umeolewa au umeowa?. kitanzania mke ndiyo anamfata mme wake sahemu yoyote anapo fanya kazi, pia serikali inalitambuwa ilo sasa kwako ikoje hii issue?
ndoa iko Darniko Tanga mjini, vipi? ningetamani kuja moro
ndoa iko Darniko Tanga mjini, vipi? ningetamani kuja moro
pole mkuu. sasa wewe ndiyo umeolewa au umeowa?. kitanzania mke ndiyo anamfata mme wake sahemu yoyote anapo fanya kazi, pia serikali inalitambuwa ilo sasa kwako ikoje hii issue?
vp wadau. kwa mwl yeyote secondari anaetaka kuhamia Tukuyu Mbeya mi nije Dar ani pm. shule ipo pazuri. sababu kuu ya mm kuhama ni kumfuata wife
Tusidanganyane hapa! "Kitanzania" ndio nini? Na kwa sheria gani inayosema ni mke tu ndiye anayetakiwa kumfuta mume? Mkuu unazungumzia mazoea kama vile ndio sheria. Yeyote anaweza kumfuata mwenza wake. Achana na mazoea ya kizamani ambapo wake wengi walikuwa ni wamama wa nyumbani na wale waliokuwa waajiriwa wengi wao walikuwa katika kazi za nursing na ualimu.
MWAj, ni kweli kwa hayo unayoyasema lakini mama kumpata mtu wa kutoka DAR hadi TUKUYU kweeli hiyo nikazi nyingine ya ziada! Mkuu sikukatishi tamaa lakini hata ukilala makaburini kwa mwezi mzima itakuwa ngumu hiyo.
Mkuu Mwaj, yote tisa, avatar yako inatia moyo. I salute you.Kwa hilo la kubadilishana hizo sehemu nakubaliana na wewe kuwa litakuwa gumu kama kuyataka maji yapande mlima. Ila huwezi kujua anaweza akatokea atakayependa kuishi Tukuyu.
vp wadau. Kwa mwl yeyote secondari anaetaka kuhamia tukuyu mbeya mi nije dar ani pm. Shule ipo pazuri. Sababu kuu ya mm kuhama ni kumfuata wife
It is among the best places in bongoland, if not No. 1. Weather, people and their culture, ardhi, miundombinu ipo byee. Tatizo, kama zilivyo rural areas, kukosekana kwa recreational facilities, kama ni mpenzi wa mambo hayo. Tukuyu life is cheap, no matter unajikweza vipi.Hivi tukuyu kukoje? it seems kuko hovyo sana,tuambizane basi!
ndugu yangu natamanitsana ningebaki Moro bt nalazimika kuhama ili kuungana na familia coz nimeingia ktk ulimwengu wa wawiliwawili