tena hao matapeli anakwambia bas mimi sec au msingi ili 2 mpishane kisha anakwambia ngoja kunajamaa hapa nakuunganisha nae na mimi bas ntafutie.
Yaani usipokuwa makin utamuingiza mwezio kwa matapeli bila kujua.
dah nashukuru sn waungwanana coz muda c mrefu ningetapeliwa huyu jamaa wa tumbi kanitumia sms juzi na tulishaanza kufanya mazungumzo na huyo ndugu yake wa dodoma(tamisemi)
ELIMU______secondary/ njoo IKWIRIRI RUFIJI/PWANIA karibu sana na dar es salaam nauli elfu tano/nne kama upo kahama mji/ shinyanga manispaa tufanye kubadilishana....0757632037.
sisi walimu tabora wilaya ya sikonge idara sec na msingi tunatafuta walimu kudilishana tuende moja mikoa hii arusha,kilimanjaro,tanga na manyara contuct0784289435
ELIMU______secondary/ njoo IKWIRIRI RUFIJI/PWANIA karibu sana na dar es salaam nauli elfu tano/nne kama upo kahama mji/ shinyanga manispaa tufanye kubadilishana....0757632037.
Kweli kabxaaa yamenikuta hayo mwenzenu,jamaa anaitwa NSIA URON anadai yupo TAMISEMI na anapanga dili na jamaa anayedai yupo TUMBI SEKONDARY alipohamia N.B Tutumie PM cyo Namba za simu kama una shida zaidi .