WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Ndugu mwalimu habari..., nipo Mara, Rorya, idara ya secondary, nahitaji mtu wa kubadilishana nae kituo toka Mkoa wa Dodoma, Morogoro. nitafute kwa 0655006053
 
Mwl,njoo Kagera mimi nije,Mvomero,Kilosa,Kilombero,Rufiji,Handeni,Korogwe,idara Sekondari.
 
natafuta mwalimu wa kubadilishana naye toka morogoro au kilimanjaro au dodoma aje lindi manispaa kitengo sekondari

wasiliana nami
0767370802==>watsup pia.
0789370802
 
NJOO NEWALA-MTWARA IDARA YA SEKONDARI MIMI NIJE MUHEZA,KOROGWE,LUSHOTO,BUMBULI AU TANGA JIJI.Kwa mawasiliano nitafute 0783677207/0767665619
 
Njoo Newala-MTWARA (Idara ya sekondari)mimi nirudi nyumbani kati ya wilaya za Muheza,Tanga jiji,Lushoto,Bumbuli au Korogwe,KWA MAWASILIANO Nitafute ktk namba 0783677207 na 0767665619 AU 0717765619
 
jsman nimepigiwa simu na tapel moja anasema yuko ofis ya rais utumishi kisha akanimbia katika harakati za kupekua makablasha akakutana na jina langu akajua nitakuwa mhee mwenzake akaona ni vyema anipigie ili anisadie kama ningehitaji kuhama hivyo akanishauri nimtumie cheki namba ili anitengenezee uhamisho wa kulipwa ambapo ningelipwa mil 4 pia akanishaur niende mafinga mwisho akaniambie nismwambie mtu lakn nimeona niwashirkishe na wenzangu. jama tuwe makin kwan kuna watu hawana uoga na mungu
 
hahahahahahahhaahahahahahahha aaaaa dah hiyo kali, jamani sio utani hawa matapeli wana mbinu za ajabu kama hajastuka mapema unaumia Nakushukuru kwa kilistukia hilo.
Wanambinu nyingi sana hawa manyang'au.
IMEKULA KWAO
 
Jaman njoo sumbawanga laela idara ya sekondary nje mbeya mjni mbeya vjn kyela au rungweambae yuko Intrested an pm
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.0684122208.
 
Short cut inakubalika mi nimefanikiwa nilisota sana kutafuta wa kubadilishana nae nilipokoswa nikaoneshwa mkato nimepata
 
shot cut hii inaweza kuwa mbinu nyingine ya matapeli kuweni makin walimu.
 
Njoo Kagera-Muleba nije Kilombero,Kilosa,Mvomero,Rufiji,Korogwe na Handeni,Sekondary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…