ALOYCE MBWELWA
Member
- Aug 4, 2014
- 62
- 3
Short cut inakubalika mi nimefanikiwa nilisota sana kutafuta wa kubadilishana nae nilipokoswa nikaoneshwa mkato nimepata
eNjooni njombe nije MBEYA MJI,CHUNYA MJINI,KYELA MJINI,BUSOKELO MJINI,RUNGWE,MBOZI n.k
huamini subiri mwezi des nikija huko ndo utaamini nilichoandika bahati nzuri nakuja nzega so itakuwa rahisi kwako kuaminiwe ba nick umefanikiwa lin tena? Be faith ful
Njoo MTWARA-MJINI nije mwanza ilemela, nyamagana, sengerema, chato au geita. Idara ya secondari. Ma number 0652620272