Habari wana jamii,
mimi ni mwalimu wa sekondari wilaya ya masasi-mtwara, natafuta mwalimu wa kubadilishana naye, toka masasi kwenda-mbeya wilaya yoyote au iringa wilaya yoyote au morogoro wilaya yoyote au pwani wilaya yoyote au dar es salaam au rukwa au songea au dodoma.
Mawasiliano:0753 554180 / 0657092587

Acha kuzunguka mbuyu ticha, si useme tu Dar Es salaam. Anyways nakuombea ufanikishe hitaji lako.
nahama kwa sababu nataka kukaa karibu na nyumbani mana nina jukumu la kifamilia la kulea wadogo zangu na kuwasimamia kwa ukaribu mana hawana mwangalizi na wanasoma.
anataka kwenda dar kukinga gesiacha kuzunguka mbuyu ticha, si useme tu dar es salaam. Anyways nakuombea ufanikishe hitaji lako.