WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Niko tunduru ruvuma. kwa yeyote aliyekuwa tayari haya contact hizo 07665381480 au 06821365701
 
Habari wana jamii,
mimi ni mwalimu wa sekondari wilaya ya masasi-mtwara, natafuta mwalimu wa kubadilishana naye, toka masasi kwenda-mbeya wilaya yoyote au iringa wilaya yoyote au morogoro wilaya yoyote au pwani wilaya yoyote au dar es salaam au rukwa au songea au dodoma.

Mawasiliano:0753 554180 / 0657092587
 
kwanini unahama.
 
Acha kuzunguka mbuyu ticha, si useme tu Dar Es salaam. Anyways nakuombea ufanikishe hitaji lako.
 
nahama kwa sababu nataka kukaa karibu na nyumbani mana nina jukumu la kifamilia la kulea wadogo zangu na kuwasimamia kwa ukaribu mana hawana mwangalizi na wanasoma.
 
Acha kuzunguka mbuyu ticha, si useme tu Dar Es salaam. Anyways nakuombea ufanikishe hitaji lako.

Nashukuru,ila si kwamba nazunguka mbuyu kama unavyosema mana nime ainisha maeneo ninayotaka kwenda.
 
nahama kwa sababu nataka kukaa karibu na nyumbani mana nina jukumu la kifamilia la kulea wadogo zangu na kuwasimamia kwa ukaribu mana hawana mwangalizi na wanasoma.

We sema tu unataka kukaa Dar es salaam!!! hiyo ya sijui unataka kukaaa karibu na nyumbani ni uongo....mfano Mbeya...Iringa ...Rukwa na Dar ni mbali mbali sana je ina maana sehemu zote hizo familia yako ipo?
 
Nataman kuhama na nipo dodoma h/mashauri ya chamwino lakini kuja mtwara siweziiiiiiiiiii.... lakini nakutakia kila la kheri.
 
Sikuzote mkataa kwao mtumwa "charity begins at home" and rember that, all in all home is the best.
 
Anayetakuja Nachingwea jamani shule iko hapahapa katikati ya haka kamji Inaitwa Nambambo me niende Morogoro
 
Mimi ni mwl wa sekondari singida manispaa natafuta wakubadilishana naye kutoka mbeya jiji au vjjn
 
sorry nadandia thread ndugu ....
***Mwl wa sekondari singida manispaa anatafuta wakubadilishana nae kutoka morogoro mjini,kibaha au dar...
**mwl sekondari wa dodoma manispaa anatafuta wa kubadilishana nae kutoka morogoro mjini, kibaha au dar es salaam
 
Wakuu natanguliza salamu kwenu. Mimi ni Mwalimu wa shule ya Msingi ninayefundisha katika Halmashauri ya wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza. Ninatafuta mwl. Wa kubadilishana naye kituoa cha kazi kutoka katika Manispaa yoyote ya mkoa wa Dar es salaam au wilaya ya Mkuranga au manispaa ya Kibaha kwa mkoa wa pwani. Aliye tayari Ani-PM...tutawasiliana.
 
Mie nipo Manyoni Singida nataka kwenda Mara, Mwanza au Geita
 
Natafuta mwalimu wa kubadlshana ambaye atatoka iringa aje dodoma chamwino mawasikiano 0782419833
 
Omba mungu utapata,me nilimpata wa kubadilishana nae frm DAR-SHINYANGA,,,,,
 
Back
Top Bottom