WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

nakushukuru ndugu wa Kilwa uliokuwa tayari kuja Kilindi,mimi nahitaji Bagamoyo niungane na familia yangu.Idara ya sekondari
 
Mwalimu wa sekondari namtafta nipo same namtafta wa moshi mjini au vijijini 0717386467
 
Njoo missenyi kagera idara sec nine igunga, singida, Kilimanjaro, babati au Dodoma. No 0688200146
 

niko tayari we uko shule gani hapo Kigoma,
 
Mwl idara ya MSINGI yupo serengeti anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka KILIMANJARO au ARUSHA wilaya yoyote.
0688373097 au 076364062
 
mimi ni mwalimu, nipo musoma mara. Kwa yeyote aliye tayar tubadilishane nije arusha wilaya yoyote anipim.
 
mimi mwal nipo mara musoma, mwal msingi, natafuta yeyote aliye tayar tubadilishane nije arusha wilaya yoyote anichec, mazingira n mazuri, umeme maji na hospital zipo. 0717008067 tuma sms nitaipata muda wowote.
 
Me nipo musoma mjini natafuta wa kubadilishana wa Dar aliye tayari anipigie 0755814442 idara sekondari
 
mimi nipo musoma, pembezon na mji, aliye tayari kuja huku niende arusha wilaya yoyote anitumie sms 0717008067 huduma zote zipo, maji,umeme, hospital, na usafir muda wote.
 
Njoo Kahama Nije Rungwe,busokelo,mbeyajiji,mbeya Vjjn,momba-idara Sekondar
 
Njoo Njombe Nije Mbeyajij,mbeya Vjjn, Rungwe, Busokelo, Momba, Mbozi, Chunya Mjini, Piga0765432283 Kwa Walio Serious.
 
Nipo kilwa nafundisha sekondari nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kituo wilaya ya Lindi mjini, lindi vijijini na mtwara mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…