Natafuta mwl kutoka mbeya tubadirishane aje rukwa
Anayetaka kuja MASASI mimi niende kanda ya KASKAZINI(kilimanjaro,tanga,arusha,manyara) aliyetayari an PM.
IDARA-SEKONDARI
mie npo ilala...
Njoo Tabora 0753705024Mwlm njoo NJOMBE MJI mm nije RUNGWE idara ya msingi: 0715598343,0764623738
weka mawasiliano nikuunganishe na jamaa anahitaj
njoo dar ilala nije moro manispaa..kama upo tayar nichek fetty189@gmail.con