Ngao yangeyange
Member
- Jan 2, 2014
- 87
- 1
njo karatu arushanjoo bumbuli, lushoto..
kuna mdau wa magu anahitaj kwenda kibaha yuko sec tuchekiane
njoo nzega nije iringa mjini/ ringa vjjn /kibaha/dareslaam idara sec
Ww uko idara gan? Msingi au upili?
Kama uko msingi kuna mwalim yupo serenget utakuwa karibu na tarime kama vp nikuunganishe nae.
Mimi nataka kubadilishana kituo kutoka masasi kwenda kasulu aliye tayari plz tuwasiliane.0764118582
Ingekuwa masasi ungenipata nipo tayari kwenda kigoma.Natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi. yeye aje huku kigoma wilaya ya Buhigwe shule ya msingi Mgogo.
atakayekuwa tayari kutoka mikoa ifuatayo, Mbeya, Sumbawanga(rukwa), Njombe na Iringa.tuwasiliane kupitia pm:hail:
Njoo kasulu niende babati ,korogwe ,bahi au dom mjin na mwanza