WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Kwa wale mnaotoka mikoa ya kusini au mnaopenda kufanya kazi mikoa ya kusini NJOO NEWALA-MTWARA idara ya SEKONDARI mimi nirudi nyumbani TANGA,Ktk wilaya yoyote kati ya hizi TANGA JIJI,MUHEZA,LUSHOTO,KOROGWE,HANDENI,KILINDI,BUMBULI AU MKINGA.Kwa aliyekuwa tayari naomba tuwasiliane kupitia namba zifuatazo 0783677207,0767665619 au 0717765619
 
ahsanteni
 
Anaehitaji kuja geita nije morogoro manispaa tuwasiliane

0762336555
0789336555
0715936555
 
Njoo geita -chato nije morogoro manisipal

0789336555
0762335555
0715936555
 
me natafûta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi idara ya msing katika wilay zifuatayo bunda au tarime .mawasiliano 0768406872
 
kama kweli ni mwalimu ulie kaa darasan,hawa jamaa hawawez kukupa shda coz hujulikana kwa urahis
 
Jaman walimu kuweni makini sana na utapeli humu ndan.kuna mtu jana kanipigia simu akidai ni afisa utumishi kutoka makao makuu dar.lakin nimeenda nae sawa kwasababu nilishapewa tahadhari.nakupa nawe mwenzangu...kuwa makin

ni kweli mkuu
 
njoo dodoma mjini (manispaa) mimi nije babati mjini, moshi manispaa, morogoro manispaa, hai-kilimanjaro
kama upo tayari 0758121353, 0684533627, 071769022
1

vp,huwez kuja arusha-ngorongoro ni karibu na karatu shule ilipo 0659622029
 
watu wa ARUSHA ngorongoro njooni kwenu idara ya sec niende mkuranga,kisarawe,moro mjn,hata lushoto au kibaha.0659622029
 
njooo ARUSHA ngorongoro idara ya sec,mi niende korogwe,lushoto,kibaha,mkuranga,kisarawe,bagamoyo au wilaya yoyote dar.0659622029.
 
Njoo Tarime nije Kilimanjaro, Tanga, Arusha, Manyara au Moro Idara ya Sekondari
Call +255752490349
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…