WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Kubadilishana vituo vya kazi kutoka Dodoma kwenda Mwanza tuwasiliane kupitia hizi namba 0755688002
 
Be open (kazi gani ili usaidiwe) kazi zipo za aina nyingi.
 
natafuta wa kubadilishana aje nzega idara ya sec awe anatokea kibaha, kisarawe,mkuranga,bagamoyo na iringa wilaya yoyote 0752430195
 
Njoo lushoto-tanga,idara ya sekondari nije mufindi,iringa mjini,iringa vijijini au kilolo.kama upo tayari ni pm.
 
Njoo Newala-MTWARA idara ya sekondari mimi NIHAMIE wilaya YOYOTE ya mkoa wa TANGA.Kwa mawasiliano zaidi nitafute katika namba 0783677207,0767665619 na 0717765619. Piga au tuma SMS mwalimu mwenzangu. NAWATAKIA KAZI NJEMA WALIMU WENZANGU.
 
Habari zenu Walimu na wadau mbalimbali?

Mimi natafuta mwalimu wa Sec wa kubadilishana nae. Yeye aje Ruangwa mm niende moja kati ya mikoa ya KINONDONI, BAGAMOYO, KIBAHA AU MORO TOWN.

Yeyote anayetokea moja ya sehemu hizo na angependa tubadikishane, tuwasiliane.

NB. MCHAKATO UKIKAMILIKA NITAMPATIA 200000 NA ATAZIPOKEA KWA AFISA ELIMU- Ruangwa!!!.

Wilaya hii imejaa vyakula vya kila namna. ndiyo inayoilisha karibu Lindi nzima kwa mazao yake.

Tuwasiliane kwenye PM au 0684086635 au 0717041305
 
Mdau,tafadhali njoo kishapu eneo la maganzo mwanza road, idara ya sekondari,mi nije hapo dodoma mji.
 
Njoo kilwa-lindi...Idara ya sekondari..dogo aje mkuranga,bagamoyo,Dar au Moro
 
mimi ni mwalimu wa sekondari nataka kubadilisja kituo niende Arusha Meru wewe uje Moshi manispaa.kama uko tayari niPM.
 
nipo dodoma chamwino vijijini.mwalimu yoyote anaependa kuja chamwino kutokea dar au moshi au arusha.ni shule ya msingi.
 
seseko kuna mtu anataka kuja mwanza we uende dodoma wilaya ya chamwino sekondari ya hombolo.kama upo tayari nitumie no yako nikucheki.
 
Natafuta wa kubadilishana nae Mimi niende mbeya jiji au mbeya vijijini na Yeye aje manispaa ya Dodoma.
Tuwasiliane 0714921848. Idara ya sekondar
 
Natafuta MTU wa kubadilishana nae Mimi nije mbeya jiji au mbeya jijini na Yeye uje Dodoma manispaa. Idara ya sekondari. Tuwasiliane 0714921848.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…