WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

INAKUHUSU,,,,,, mwalm njoo au sogea shy, mi nije mwanza (nyamagana,ilemela, misungwi au sengerema) idara ya msingi 0762600121
 
njoo mpwapwa halmashauri nije morogoro wilaya ya mvomero au moro vijijini idara sekondari
 
Naomba ile issue ionekane hivi brother "KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI-Mimi ni mwalimu natafuta mtu kubadilishana aje Dodoma mimi niende Mwanza, 0755688002"
 
Nenda CHATO-GEITA mdogo wangu aje MOROGORO MANISPAA. Idara ya sec. Wasiliana nae: 0764264315.
 
njoo kasulu mjini idara ya sekondani nije Bagamoyo, Dar, kibaha, mtwara municipal, iringa mjini au mbeya jiji nicheki kwa 0759167916/0715167916
 
Naomba ile issue ionekane hivi brother "KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI-Mimi ni mwalimu natafuta mtu kubadilishana aje Dodoma mimi niende Mwanza, 0755688002"

kuna mwalimu wa singida mjini anataka kuja dodoma hapo.. idara sekondari
 
HEY Y'ALL!!!!!

Mimi natafuta mwalimu wa Sec wa kubadilishana nae. Yeye aje Ruangwa mm niende moja kati ya mikoa ya KINONDONI, BAGAMOYO, KIBAHA, MOROGORO, TANGA, ARUSHA, KILIMANJARO AU MBEYA.
Yeyote anayetokea moja ya sehemu hizo na angependa tubadilishane, tuwasiliane kwa Private message au 0717041305 au 0684086635

NB. MCHAKATO UKIKAMILIKA NITAMPATIA 200000 NA ATAZIPOKEA KWA AFISA ELIMU- Ruangwa!!!
 
Mimi ni mwalimu natafuta mtu kubadilishana aje Dodoma mimi niende Mwanza, 0755688002"
 
 



An sms you must read"^^^^^^^^^^^^
 
Mwalimu njoo mbeya-Busokelo shule ya sekondari MWAKALELI mim nije iringa mjin au iringa vijijini.
 
Mdau,tafadhali njoo kishapu eneo la maganzo mwanza road, idara ya sekondari,mi nije hapo dodoma mji.
njoo Bahi ni buku 2 had dom mji.0769830483

njo bahi buku 2 had dom mji.
 
Njoo, Singida manispaa......Niende Sengerema, kahama au geita, Idara ya Sekondari..
Kama upo tayari ni pm
 
Mimi naona kuna haja ya kupeleka hoja bungeni kwamba walimu waruhusiwe kuhama bila sharti la kutafuta mtu wa kubadilishana nae. Chamsingi mwalimu anayehama mkoa kwa mkoa apate kibali na nafasi anakotaka kuhamia. Kwa kufanya hivyo maisha yatakuwa mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…