Nishachemka na kukata tamaa na hii mambo ya kubadilishana maana cpati mtu. Walimu wa SEKONDARI walopangwa Tanga hawataki kuja KIBITI-RUFIJI, haya kaeni nyie mfaidi lakini huko ni kwetu sie....
Niko katika halmashauri ya wilaya ya kilombero ninamtafuta mwalimu wa sekondari aliye katika halmashauri ya manispaa ya Mbeya ambaye anataka kuhamia katika halmashauri ya Kilombero, kama kuna mwalimu aliye tayari kubadilishana ani tumie PM.
Mwalimu idara ya sec.nipo Bariadi mkoa wa Simiyu.natafuta mwalimu wa kubadilishana nae ktk wilaya ya Kibaha,Mkuranga,Arusha au Moshi Town..Tuwasiliane ktk email sadiqmushi@gmail.com..mchakato ukikamilika kuna donge none..