WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi


kama upo mtwara (m) unaitaji kuja tanga 0786043373
 
Njooooo mtwara mwl nije Mbeya Iringa Mbeya Njombe na Rukwa
Idara msingi 0689976850 karibuuuuu
 
Mimi ni Mwalimu wa SEKONDARI halmashauri ya Kilwa nataka kuhamia Wilaya ya Kibaha. Kwa aliye tayari tubadilishane atume ujumbe kwenda 0685 306666.
 
wanaukumbi Bila shaka nyote ni wazima. mimi ni Mwalimu wa sekondari nimeajiriwa na Serikali huko kisiwani ukerewe. ndugu zangu mazingira ya kazi, gharama za maisha na umbali wa kijiografia vinachangia kunifanya nipate tabu na mazingira ya kule hasa nikielekea Dar Likizo. Nimejaribu uhamisho wanakataa. Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.
 

nenda katoe rushwa utumishi wakuhamishe
 
una umri gani? kazi umeanza lini? kwenu wapi? una familia huko Ukerewe?

 
"Elimu ni ufunguo wa maisha"
Tumia elimu uliyonayo kujiajili lakini kuwa makini usiache kazi kabla hujajiajili. "ACHA KAZI UONE ILIVYO KAZI KUPATA KAZI".
 
Dar unarud kufanya nn? Acha ujinga fanya kazi huo ni utoto,

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
"Elimu ni ufunguo wa maisha"
Tumia elimu uliyonayo kujiajili lakini kuwa makini usiache kazi kabla hujajiajili. "ACHA KAZI UONE ILIVYO KAZI KUPATA KAZI".

Hahahaaaaa! umenikumbusha miaka hiyo wakati naanza kazi h/mji Njombe walikuwa wameandika. "UMEOMBA KAZI, FANYA KAZI, UKIONA KAZIKUFANYA KAZI, ACHA KAZI UONE ILIVYO KAZI KUPATA KAZI".
 
Njoo Nyasa-Ruvuma mi nije Mbeya, Iringa na Morogoro idara ya sekondari. 0766538148
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…