Issa Daudi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 289
- 20
Tangazo
kuna group la wassap kwa ajili ya waalimu lengo ni kusaidiana katika uhamisho,weka namba yako ktk inbox yangu nikuadd.wahi wamebaki wachache.
njoo bunda kama vpNjoo kilimmanjaro nije mwanza yamagana ilemela au misungwi idar sec
Njoo KIBAHA mji nije mara seconary
vip, unaweza kwenda lindi?
Njoo bariadi mujini..0752460095
siyo mimi mkuu, ni mke wa jamaa yangu anataka kumfuata mumewe songea, Lindi hawezi kwenda.
piga 0714010511 nirudi kwetu mufindi...idara secondary
natafuta mwalimu wa kubadilisha nae kituo cha kazi npo wilaya ya mufindi mi niende songea au mbeya ....