WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl wa Secindary anahitaji kuhama kutoka Monduli Arusha kwenda Mwanza. Ilemela au Nyamagana.

Kama uko mwanza unahitaji kwenda Monduli Ni PM
 
kwa yule aliyeko moshi Arusha na manyara.anataka kuhamia tabora wilaya ya uyui idara ya msingi awasiliane nami kwa na 0782 054 153
 
Hi wanajf, kwa yule aliyekwishatuma maombi ya uhamisho tamisemi na ana update yoyote atujuze please
 
Back
Top Bottom