WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

wale wa Tanga njooni karatu arusha mm nije tanga sehmu kilind pangan muheza au korogwe.contact 0788628489.
 
Nipo kilwa day srkondary iliyopo kilwa masoko nataka niende dar. Kama upo tayari nitafute
 
MWL yupo LINDI idara msingi anatafuta MWL mwenzake was kubadilisha nae kutoka TANGA;MOROGORO popote
No:0656425372
 
mwalimu sekondar kutoka kilindi tanga anatafuta wa kubadiliashana nae kutoka mtwara(m) 0768968251
 
Njoo Tanga -LUSHOTO ule mimatunda kibao mi nije hapo Moro Home. Kama vp nichk 0655233578
 
Njoo RUANGWA LINDI nije MOROGORO,DAR au PWANI halmashauri yoyote ksoro MAFIA
MAWASILIANO 0717789853
 
Njoo RUANGWA LINDI nije MOROGORO,DAR au PWANI halmashauri yoyote ksoro MAFIA idara msingi

Mawasiliano ni 0717789853
 
Jombaaaa ruangwa wamwera hawataki kurudi mtu akionja raha za mjini anasahau vumbi la mbekenyera
 
Mimi mwalimu wa sec nipo wilaya ya missenyi kagera nahitaji kubadilishana na mtu kwenda mwanza jiji, ilemela , nyamagana mawasiliano 0762529294 au 0683420084.
 
Back
Top Bottom