WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

anaetaka kuja kilindi kutoka mikoa ya manyara, arusha, pwani, moro, dodoma, kilimanjaro.0655868480
 
Njoo NEWALA-Mtwara idara ya SEKONDARI mimi nije mojawapo kati ya wilaya zifuatazo katika MKOA WA TANGA: TANGA JIJI,MUHEZA,KOROGWE,HANDENI,LUSHOTO,MKINGA na BUMBULI. kwa mawasiliano piga simu 0783677207,0767665619 au 0717765619.PIGA SIMU AU TUMA SMS nitakutafuta
 
NJoo kasulu mjini nije babat ,dodoma ,moshi, tanga au arusha.idara ya sec :msela::A S check_03:
 
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nipo wilaya ya Serengeti nahitaji kuja Arusha!
No 0762419677
 
Njoo musoma serengeti nije Arusha kwa walimu wa primary!
No 0762419677
 
Niko MBEYA wilaya ya RUNGWE,natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi.
Awe ametoka mkoa wa kilimanjaro au Arusha kwa idara ya ELIMU YA MSINGI....
Mawasiliano:0717659126 au 0753506840:::
kazi njema
 
nipo kasulu mjin idara ya sek nahitaji kubadilishana na mwl kutoka babat, arusha,moshi au tanga
 
nipo kasulu mjin idara ya sek nahitaji kubadilishana na mwl kutoka babat, arusha,moshi au tanga 0756729922
 
mm mwl wa sec nipo kasulu mjin nahitaji kwenda babati ,arusha, moshi au tanga 0756729922
 
mbona wote mnataka kuja Arusha...kwanza mna rasta? huku ni mwendo wa "Jah Rasta Faraiiii!! lol
 
Nipo mbinga natafuta mwl wakubadilishana naye (idara ya msingi), kutoka Tanga,Morogoro,kilimanjaro, Pwani au Arusha.
Contact: 0766784085
 
NJOO wilaya ya Newala mkoa wa Mtwara nami niende mkoa wa TANGA WILAYA YOYOTE idara ya SEKONDARI.Kwa mawasiliano nitafute ktk 0783677207,0767665619 na 0717765619.
 
Back
Top Bottom