WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anayetaka kwenda kibondo mkoani kigoma nipigie namba hii tuongee zaidi 0764411446 mimi nataka arusha manyara au babati au kilimabjaro
 
habar walimu mimi mwl msingi nipo wilaya ya kaliua-TABORA natafuta mwl wa kubadilishana yeye aje kaliua-TABORA mimi niende DODOMA MOROGORO SHINYANGA NZEGA KWA YEYOTE ALIEPO MIKOA HIYO NA ANAHITAJI KUJA KALIUASILIAA TUWNE KWA NAMBA 0683303192
 
jamani nahitaji mtu wa kubadilisha na mama mtoto wangu yeye yupo mafia idara sekondari masomo: art, anahitaji kwenda mwanza wilaya yeyote plz kama yupo mhitaji wa hili.
 
Njoo pwani mafia mim nije morogoro,bagamoyi, idara ya sekondari 0719 534513
 
Njoo NACHINGWEA nije MBEYA, MORO, IRINGA, ARUSHA, MIKUMI, MAFINGA, MAKAMBAKO idala sekondari. 0754242620
 
Mwl nipo Mtwara Natafuta wa kubadilishana kutoka Mbeya,Iringa,Njombe,Morogoro,Dar,Pwani Lindi Hasa Nachingwea ,Rukwa Wilaya yoyote ktk Mikoa hiyo idara msingi ila kama yupo wa secondary vilevile yupo mdau mwenye uhitaji #Aliye tayari ani Pm au anitext ktk 0689976850,0768948179 au email (Mzalendomkuu@gmail.com)
 
Mwl toka Manispaa ya Dodoma aje Halmashauri ya Chamwino idara ya secondari tubadilishane.
 
Mwalimu anayetaka kuja Kilindi kutokea halmashauri za Tanga jiji au jirani tuwasiliane 071343797
 
Nipo newala mtwara idara ya sekondari nitafute hewani fasta tuanze mchakato mimi nije hapo kilindi.nitext ktk 0783677207
 
Mimi Mwl Wa Msingi manispaa Ilala Elimu Maalum Nahitaji Wa Kubadilishana Kutoka Manispaa Mtwara Mikindani. Mawasiliano Nisms 0713775850 #usipige !
 
Habarini wana JF.
Kwa mwl.idara ya sec. anayehitaji kuja Itigi-Manyoni..(SINGIDA) akitokea Songea (M) tuwasiliane tafadhali.
0788-448728
 
Inabdi na wew umpate ambye ana utalamu wa special education ila coz upo town utapata tu mtu wa kubdlishana nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…