Peter Lewandowski
Member
- Jun 10, 2013
- 91
- 6
kama kuna anayefundisha mbozi mbeya yeye aje nyololo mufindi iringa sekondari anitafute 0755814442
MWL msingi Arusha nataka kwenda babati mjini moshi manispaa au morogoro manispaa 0764103526
Mwl wa Secindary anahitaji kuhama kutoka Monduli Arusha kwenda Mwanza. Ilemela au Nyamagana.
Kama uko mwanza unahitaji kwenda Monduli Ni PM
0759780208
Njoo songea mkoa wa ruvuma idara ya msingi nije mikoa ifuatayo.
1.TANGA.
2.MOROGORO.
3.PWANI.
4.KILIMANJARO.
Mawasiliano.
0787552918.
0713552918.
Yeye aje mkoa wa geita wilaya ya chato mimi nije rungwe- mbeya.lengo niwe karibu na familia. Contact 0769056633