WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo pwani wilaya ya mafia idara ya sekondari mimi nije morogoro wilaya yeyote
 
WALIMU NA WATUMISHI WENGINE VIBARI VYA UHAMISHO VIMETOKA LEO TAR 21/1/2015
KAMA HUJUI NAMNA YA KUANGALIA JINA LAKO NITAFUTE KWA NO HII
0756231236 Au 0689270867
 
Mwl. Anayetaka Kufundisha Maswa Idara Sec. Tuwasilane Kutoka Mwanza Dar Dod6a Moro Mbeya Uwasiliane Kwa Pm
 
Kwa mwalimu wa shule ya msingi anayetaka kwenda geita na ndugu yangu aende morogoro tuwasiliane
 
Njoo kilwa, Lindi nije Rufiji, kibaha, Bagamoyo, Morogoro,mkuranga na Dar Wilaya yoyote. 0767069049 /0713069049. SECONDARY
 
mimi mwalimu sekondari nipo kilimanjaro siha nataka kubadilishana na mtu toka morogoro tuwasiliane 0782523766 -0686023728
 
mimi mwalim sekondari nataka kubadilishana na mtu aje kilimanjaro wilaya ya siha niende morogoro mawasiliano 0686023728 -0782523766.
 
Mwal.. Richard sinkamba idara ya sekondari halmashaur ya Uyui-Tabora. Natafta mwalm wakubadilishana atokaye halmashaur ya sumbawanga (m). mboz. Mbeya (m) . Nkasi. Ntupie kwenye jamii forum. 0684915664.0763167984, 0757281388
 
Natafuta wa kubadilishana nae aje ukerewe niende tabora manispaa,shinyanga,kahama,pwani,tarime
 
Mwalimu idara yoyote wa kike ambaye hajaolewa yupo mkoani anataka kuhamia daresalaam ani pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…