WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.0684122208.
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208.
 
njoo iringa kilolo karibu na manispaa nije

1)temeke
2)mkuranga
3)kisarawe au pwani. Ni pm
 
Mwl mdoe idara msingi yupo Lindi anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka eidha Tanga au Morogoro popote
No: 0786280967
0756231236
 
Njoo mwanza jiji nyamagana shule ya sekondari nyakabungo,nije dar jiji au kibaha mjini 0716264618 au 0756021311
 
NJoo simiyu-maswa idara sec wewe uliye mwanza dodoma mbeya dsm moro kwa mwenye uhitaji pm tu
 
njoo kiombi iramba nije kibaha au mkuranga idara ya msingi tuwasiliane 0712044775 au 0688856778
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…