Muharami Saidi
Member
- Jan 4, 2015
- 74
- 1
Fanya fasta tuyajenge mapemaNjoo mwanza jiji nyamagana nami nije dar es salaam jiji, kibaha mjini au mkuranga,idara sekondari:0716264618#0756021311
Jamani wakagera haampo nipm nisogee mbeya hapo au mikoa jirani
njoo mvomero nije katesh
njoo mvomero nije katesh
Njoo Rungwe mbeya nije kinondoni au pwani idara:shule ya msingi.0717629898
Mbali sana huko mkuu.mbulu manyara vp kam vp nichek 0754614453
Acha kazi urudi unakokutaka