WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi mwalimu sekondari jiji la Arusha natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka katika manispaa ya Morogoro au manispaa yoyote kutoka Dar es salaam, kama unawiwa tafadhali reply humu ili tupange jinsi ya kuwasiliana.
 
Mwl Perfectus Kimario yupo kagera anahitaj wakubadilishana toka mosh mjin au vijijin, babati au Arusha
0712272365
 
Mie nipo Arusha jiji natafuta wa kubadilishana na mwalimu toka manispaa ya Morogoro aliye intetested pliz tutafutane inbox
 
Njoo MWANZA JIJI NYAMAGANA,Nami nije DAR ES SALAAM JIJI au KIBAHA MJINI,Idara sekondari:0716264618 # 0756021311(Fanya fasta changamkia fursa hili tuwahi kibali cha julai)
 
Natafuta mwalimu wa sekondar wa kubadilishana nae kituo cha kazi toka Arusha jiji mie niende Morogoro manispaa, kama unawiwa tuwasiliane kupitia 0718117784
 
Njoo Mvomero-Morogoro nije Singida Manispaa,
idara msingi kama vp ni pm.
 
Walimu kuna kundi la watsap ni zuri linawahusu walimu na wadau wa Elimu mcheki admini kwa +255768948179
 
njoo halmashauri ya wilaya ya songea mi nije ruangwa mtwara vijijini nanyumbu masasi au lindi vijijini idara ya sekondari
 
Mwalimu anayetaka kuhama kutoka MWANZA MJINI,GEITA au SENGEREMA kwenda kakonko KIGOMA plz nicheck kwa mawasiliano zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…