WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo muheza tanga idara sec nije

Temeke

Ilala

kinondoni au


kibaha
0717145352
 
Njoo mwanza jiji nyamagana,nije dar es salaam jiji au kibaha mjini,idara sekondari:0716264618 au 0756021311
 
Kwa wanaotaka kuishi karbu na MAKAMBAKO,NJOMBE MJINI, na SONGEA Mi niende mbeya mjin,rungwe,mbeyavijjn,kyela,busokelo,mbozi na momba, wanitafute kwa no-0719432283-idara sec.
 

bado natafuta mtu kutoka monduli, arusha dc,
arusha mjn, meru dc, longido, Ngorongoro - yeye
aje
Mbozi DC, asante.
 
Nitafutieni mwalimu anayetaka kuja njombe mi niende mbeyamjin,mbeyav,mbozi,rungwe,kyela,momba,busokelo
 
mi nipo dar natafuta mtu wa kigoma au sumbawanga tubadilishane nae. mwl secondary

Mimi nipo kigoma wilaya ya kibondo almashauri hapa mjini rubanga seconary, nicheck kama upo srious 0713391363
 
Mim mwalimu wa secondary nipo Ruvuma, wilaya ya namtumbo, nahitaji mtu wa kubadilishana nae, mkowa wa pwani, morogoro hata dar es salaam. My no 0752697803
 
nipo kigoma kibondo almashauri hapa mjini nicheck kama vp nilud home dar ni mwaka wa tatu sasa nipo huku nafundisha rubanga secondary 0713 391363
 
aje mwanza sengerema na yeye arudi ilala, dar!!! 0768851396 hot line
 
Njoo handeni tanga
idara sec nije
temeke
ilala
konondoni
kibaha
mkuranga
kisarawe
0786475050
0715475050
 
Walimu group la watsap la walimu pekee mcheki admin akuadd kwa +255768948179
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…