WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi



Tangazo

Mtu yeyote ambaye ni mwalimu wa sekondari, anayetaka kubadilisha kituo cha kazi kutoka mikoa ya kanda ya mashariki [Tanga, DSM, Pwani, Mtwara, Lindi na Morogoro] kwenda mkoa wa Mwanza, wilaya ya Ukerewe, Nansio Mjini, tuwasiliane kwa namba ya simu ifuatayo:


0714 - 001 694 au 0757 039 434
​
 
Njooni njombe,nije mbeyajiji,mbeyawilayan,rungwe,busokelo,kyela,mbozi,momba na mbalali-idara sec-0719432283.waambie na walimu wengne.
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Njoo Mara-serengeti nije Mbeya au Iringa,Nipo Idara ya sekondari.0766942129.
 
Njoo dar es salaam mimi nije shinyanga PM me phone no. sec. school
 
Njoo Tanga Handeni nije Arusha, Moshi, Kibaha au Kilimanjaro kwa mwalimu was sekondal
 
jaman bado natafuta mwalimu wa kubadilishana toka Morogoro aje Arusha jiji, tuwasiliane kwa 0718117784
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Jaman hima hima kwa alie tayari kuja lindi nachingwea awe mikoa ya njombe iringa mbeya morogoro idara sekondari tuwasiliane kwa namba 0655292617 au 0757292617
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…