WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Yeyote snaetaka kuja kibondo miniende kaskazini nipigie 0764411446
 
Njoo Newala mtwara idara ya sekondari mimi nihamie wilaya yoyote katika mkoa wa TANGA.Kwa mawasiliano zaidi nitafute ktk 0783677207
 
Jamani alietayari kuja tabora manispaa Mimi nije tanga jiji,korogwe au muheza au kibaha tuwasiliane 0765083251
 
Njoo mwanza jiji nyamagana,nami nije dar es salaam jiji au kibaha mjini,idara sekondari:0716264618 au 0756021311(Wahi fasta tuyapange)
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…