WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo Songea idara ya Secondary, nijee morogoro, Tanga na dar es salaam. 0715 262412
 
oiiiiiiiii, nipo mbeya tukuyu hapa, wanyakyusa mnaotaka kurudi kwenu mpooooooooo kwa wale wanaotokea manispaa hapo iringa wanicall hapa 0755766098
 
Njoo kongwa mbande dodoma... mi nije manispaa ya dodoma... 0757760837
 
Njoo MWANZA JIJI (NYAMAGANA).Nami nije (DAR ES SALAAM JIJI AU KIBAHA MJINI)..Idara SEKONDARI.Mawasiliano:0716264618 AU 0756021311(Wahi fasta fursa hii adimu hili tuyajenge mapema)
 
Njooni mwanza jiji(nyamagana).Nami nije dar jiji au kibaha mjini,idara sekondari.0716264618 au 0756021311
 
njoo newala mtwara me nije mbeya au mikoa ina
yoZuNGuka mbeya.Nicheck kwa 0788399369/0765816326.elimu sekondari.
 
je upo SONGEA na ungependa kuhamia KILOLO-IRINGA.,...Tuwasiliane. (idara-MSINGI)
 
very urgently. m niko Njombe Mji nataka kuhamia manispaa ya Iringa. aliyetayari tuwasiliane please.
nafundisha secondari. kwa maana ya degree holder.
kwa jina ni Shida F. Mgaya
 
Back
Top Bottom