WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo MOROGORO-Mvomero nije SINGIDA Mjini(Manispaa)
Idara ni msingi,
call/sms 255766628492.
 
NJoo MWANZA JIJI NYAMAGANA,Nami nije DAR ES SALAAM JIJI AU KIBAHA MJINI,Idara sekondari:Mawasiliano:0716264618 AU 0756021311
 
Karibu IRINGA KILOLO(sec) karibu na manispaa... nije dsm ,kibaha, bagamoyo au mkuranga,. Nipm
 
Njoo kigoma me nije mikoa ya morogoro,iringa,songea,mbeya,pwani,mtwara,songea,singida
 
ndg yangu baki hukohuko moro town mji wenye bahari ya mindu hewa safi kutoka milima ya uruguru, mabo yetu pale chipkizi, mengine pale nyota4, au ze club uje huku kwenye joto, vumbi, mabomu ya mbagara hayakuisha alafu unapajua dondwe nayo ni temeke nauli kama 5,000 ukija mjini , ushauli hamia kinore,matombo , ni afadhali ukawa mkulima kiliko kuja huku


kisa cha kukatishana tamaa ni nini na huku sie wote watanzania? :smile-big:eeeeeeeeeeeeeeee? muone aibu!!!!!!
 
nataka nrudi nyumban kibondo kulea familia kasulu mbali

Fanya hivi hamia kasulu badae nirahis kurud kibondo kwasabb tayar utakua mkoa huu kwaiyo utakuwa umepngza ttzo kidogo
 
Wanaohtaj kuja KASULU idara ya sek kutoka Kahama, Geita,Sengerema, Shinyanga(M) au Tabora(M).0769051972 / 0683120745
 
Njoo handeni Tanga nije
kibaha
Mkuranga
Temeke
Ilala
kinondoni
Kisarawe
Bagamoyo
idara secondary
0786475050
0715475050
 
wale wa karagwe mpo rudi nyumbani mie niende ilemela, misungwi, nyamagana au sengerema ,vp mupo kwel watu karagwe ,kama mpo ni pm
 
Mwl YULITHA idara Msingi yupo KAHAMA-SHINYANGA anatafuta mwl wakubadilishana nae kutoka MARA-SERENGETI
No:0768747317
 
Njoo Mvomero-Morogoro nije Singida- Manispaa (Mjini),
Msingi.
Call/sms 255766628492.
 
NJoo MWANZA JIJI NYAMAGANA,Nami nije DAR ES SALAAM JIJI AU KIBAHA,Idara sekondari:0716264618 # 0756021311
 
Back
Top Bottom