WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalimu anayetaka kurudi kwao KASULU idara ya sekondari kutoka popote Tz tuwasiliane: 0769051972
 
mimi ni mwalimu idara ya secondari nipo wilaya ya kibondo mkoani kigoma hapa almashaur shule ipo kilometa 5 kutoka almashaur nafuta wa kubadilishana nae niamie eiza DAR, MOROGORO MJINI, KIBAHA, TANGA MJINI, KISARAWE PWANI, MKULANGA PWANI
tuwasiliane 0682746574/0713391363
 
YUPO mwalimu idara ya secondari wilaya ya kasulu anatafuta wa kubadilishana nae kwenda igunga au irambo, +255683120745
 
Nipo wilaya ya same nataka kwenda wilaya ya handeni,idara ya secondar.ni sms 0687829764
 
Idara sec nipo NEWALA mtwara aliye mikoa ya
Morogoro
Tanga
Dodoma
Pwani
Tuwasiliane 0689976850
 
Anaetaka kuja wilaya ya kiteto kuna waalimu wanafundisha kiteto secondary mmoja anataka iringa au mbeya na mwingine anataka wilaya ya kahama mwenye maitaji yakuja uku kutoka sehemu nilizo zitaja ani PM ili nimuunganishe nao
 
Njoo Njombe, nije Rungwe, mboz, kyela,.mbeyajj, mbeya wlyan,0719432283
 
Back
Top Bottom