WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.0684122208
 
Njoo mwanza jiji nyamagana,nije dar es salaam jiji au kibaha mjini,idara sekondari,0716264618 au 0756021311
 
Anaetaka kuja wilaya ya kiteto kuna waalimu wanafundisha kiteto secondary mmoja anataka iringa au mbeya na mwingine anataka wilaya ya kahama mwenye maitaji yakuja uku kutoka sehemu nilizo zitaja ani PM ili nimuunganishe nao

Njoo sikonge tabora karibu kabsa na mbeya 0759016064
 
NJoo MWANZA JIJI NYAMAGANA,Nami nije DAR ES SALAAM JIJI AU KIBAHA MJINI,Idara elimu sekondari:0756021311 AU 0716264618 (Wenye uhitaji wa dhati wajitokeze tufanye mchakato mapema tuwahi kibali cha julai)
 
bado natafuta mwalimu wa kuja jiji la Arusha na mie niende Morogoro manispaa, tafadhali tuwasiliane mapema sana.
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.0684122208
 
Kwa aliye tayari tubadilishane,mimi nije moro manispaa na yeye aje karagwe= kayanga town,idara ya sekondari,mawasiliano njoo pm
 
mwalimu anatafuta wa kubadilishana nae idara ya msingi kutoka arumemru arusha aje kilindi tanga 0686830155
 
kuna mwalimu anatafuta wa kubadilishana nae idara ya msingi aje kilindi tanga yeye aende arusha wilaya ya arumeru 0686830155 au 0752590137
 
Back
Top Bottom