hk_thegreat
Member
- Feb 16, 2014
- 45
- 1
njoo muleba mwl wa sec yeye aje korogwe au pwan au dom. au we uko wapi nicheki 0714480242
mwana njoo tabora karibu na mwanza 0688736921
0763240278 em ntafute tuangalie michakatoAnaetaka kuja wilaya ya kiteto kuna waalimu wanafundisha kiteto secondary mmoja anataka iringa au mbeya na mwingine anataka wilaya ya kahama mwenye maitaji yakuja uku kutoka sehemu nilizo zitaja ani PM ili nimuunganishe nao
bado natafuta mtu kutoka monduli, arusha dc,
arusha mjn, meru dc, longido, Ngorongoro - yeye
aje
Mbozi DC, asante.