WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi Ni Mwalimu Shule Ya msingi Ktk Mkoa Mtwara Wilaya Masasi Anae Itaji Kuja Masasi Mimi Niende Mkoa Pwani Wilaya Yoyote Mm Anijuze.
 
Mwl idara msingi yupo Dodoma-kongwa anatafuta MWL mwenzake wakubadilishana nae kutoka Tanga;Moshi;Arusha au Kilimanjaro.
No: 0767381520
 
Kwa alie tayari kuja lindi nachingwea idara ya sekondari mimi niende njombe ,iringa ,mbeya tuwasiliane kwa 0655292617 au 0757292617 karibu lindi nachingwea
 
Njoo handeni Tanga nije hapo
Mkuranga
Ilala
Temeke
Kinondoni
Kibaha
Bagamoyo
Idara secondary tuwasiliane kwa
0786475050
0715475050
 
Back
Top Bottom