WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo Rufiji kata ya bungu, nataka kwenda Dar es salaam, Kibaha, au Bagamoyo.
 
Habari! Mimi naitwa Debora E.M, mwalimu wa sekondari katika wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa. Natafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi ambaye yuko mkoa wa Pwani katika wilaya Bagamoyo. Naomba tuwasiliane kupitia namba 0754 880 778 au 0762 393 510. ASANTE!
 
mimi niko bukoba. nahitaji kuja wilaya ya morogoro, elimu sec. tuwasiliane. 0784941649
 
Walimu kutoka mikoa ya MWANZA,TABORA,GEITA,SHY,ARUSHA AU MANYARA wanaohtaj kuhamia KASULU tuwasiliane:0683 120 745
 
Idara sec Njoo Moshi nije Iringa Mbeya Morogoro 0763445535 Mwl Kelvin
 
mwalimu anatafuta wa kubadilishana nae. anahitaji kwenda arusha wilaya yoyote yeye yupo tanga wilaya ya kilindi idara ya msingi 0752590137
 
NJoo MWANZA JIJI NYAMAGANA,Nami nije DAR ES SALAAM JIJI AU KIBAHA MJINI,Idara sekondari:0716264618 AU 0756021311
 
Natafuta mwl wakubadilishana nae aje kigoma kutoka mikoa arusha, manyara, knjaro, dodoma 0786322616
 
Back
Top Bottom