WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo MWANZA JIJI NYAMAGANA,Nami nije DAR ES SALAAM JIJI AU KIBAHA MJINI,Idara Sekondari.Mawasiliano.0716264618 # 0756021311(Wahi fursa hii adimu tuyajenge mapema)
 
Idara sec wa kuja Tabora kaliua kutokea mwanza. Na mwingine kutokea dodoma
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Njoo handeni Tanga nije
Kibaha
Mkuranga
kinondoni
Temeke
Ilala
Idara sec
0786475060
0715475050
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi kutoka Mafia au rufiji mkoa wa pwani nipo sikonge tabora idara ya secondari 0759016064
 
Njoo musoma manispaa nije Dodoma au arusha au mwanza jiji.0763270623.0714549101.idara msingi
 
Natafuta mwl wakubadilishana nae aje kigoma kutoka mikoa arusha manyara knjaro dodoma
 
Natafuta mwl wakubadilishana nae aje kigoma kutoka mikoa arusha manyara knjaro dodoma
0786322616
 
mwl idara ya sekondari yupo SINGIDA MANISPAA (mjini).. anataka kwenda DODOMA au MOROGORO.. aliye tayari kubadilishana niPM
 
Njoo Morogoro-Mvomero nije Singida manispaa (mjini)
Msingi.
call/sms +255766628492.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…