WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Kuna jamaa yangu yupo Mtwara- Newala mjini Idara secondary anatafuta Mwalimu wa kubadilishana nae kati ya Morogoro, Tanga au Moshi mjini. Nitafute 0718349776
 
Natafta mtu wa kubadilishana nae aje CHEMBA DODOMA mie niende CHAMWINO DODOMA (Idara ya secondary) 0784910382
 
Back
Top Bottom