Natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo,idara ya elimu sekondari kutoka kati ya halmashauri ya MLELE,NSIMBO au MPANDA VIJIJINI,yeye aje serengeti,namba ni 0782001274 au 0786736759
naitwa Eneliko Joseph mwl wa secondary naomba kwa yeyote atakae kuwa tyar kubadilishana nami kituo cha kaz toka ITIMILA - SIMIYU kwenda BUSOKELO - MBEYA TUWASLIANE KWA 0784 016 723 au 0716 848 415