WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Anayetaka kuja mwanza, mimi nije wilaya za kyela au mboz au mbarali au wilaya ya mbeya vijijin au mbeya manispaa au rungwe. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97
 
njoo kasulu mjini nije kaskazini .IDARA YA MSINGI
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
BABATI
TANGA
MOROGORO
0753045623////0784623525
 
Mimi ni malimu idara ya secondary nipo wilaya ya Tarime nahitaji kubadilishana na mwl kutoka maeneo haya
Kibaha, Dar es Salaam, Morogoro, Tanga, Moshi au Arusha.

Kama uko tayari kuja Tarime nitafute 0755 517 076 na 0717 451 400
 
njoo kasulu mjini nije kaskazini.IDARA YA MSING
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
BABATI
TANGA
MOROGORO
0753045623///0784623525
 
Njoo lindi manispaa nije morogoro tanga kilimanjaro na dodoma na mwanza
Idara sekondari 0767370802 au 0789370802 au watsup via 0767370802
 
Njoo Arusha DC Mimi nije morogoro manispaa.idara ya sec.Mimi nipo ilboru sec. 0764776655 au 0658221998
 
Njoo halmashauri ya wilaya ya buhigwe -kigoma nije iramba idara sekondari nafundisha english literature na history .tuwasiline kwa namba 0768043900
 
Mwl idara msingi yupo MWANZA-UKEREWE anatafuta Mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka IGUNGA,NZEGA,UYUI au TABORA MANISPAL.
No:0752310697
 
mimi mwalimu noel elieza npo Iringa,kilolo idara ya elimu msingi natafuta mwalimu wa kubadilshana kituo cha kaz aliye mkoa wa Dodoma Aliyetayar anichek 0769895375 au 0712895375
 
Back
Top Bottom