Mimi ni Mwalimu Wa sekondari natafuta Mtu Wa kubadilishana naye. Yeye a je wilaya ya busega mkoa Wa simiyu( karibu na mwanza) mimi niende moja kati ya wilaya zifuatazo Mkuranga, kibaha, morogoro, daresalaam wilaya yotote ile.kwa yeyote aliye tayari anipm.
ingoo kasulu mjini nije kwetu kaskazini .IDARA YA MSINGI
ARUSHA
KILIMANJARO
MANYARA
TANGA
BABATI
MOROGORO
0753045623////0784623525 wahii mapema nafasi ni chache mwl.
Anayetaka kuja mwanza, mimi nije wilaya za kyela au mboz au mbarali au wilaya ya mbeya vijijin au mbeya manispaa au rungwe. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97
Anayetaka kuja mwanza, mimi nije wilaya za kyela au mboz au mbarali au wilaya ya mbeya vijijin au mbeya manispaa au rungwe. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97