Nahitaji mwl wa kubadilisha nae. Nipo Lindi Ruangwa, Idara ya Sekondari. Nahitaji kwenda BAGAMOYO, KIBAHA, MOSHI, ARUSHA DC/ MANISPAA, MERU au MANYARA. PLZ wasiliana nami kwa PM au 0684086635/ 0717041305.
Anayetaka kuja mwanza-Kwimba, mimi nije wilaya za Kyela, Mboz , Mbarali, Mbeya vijijin, Mbeya manispaa, Rungwe, Ileje au Busokelo. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97