WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Ushetu_Kahama nine dodoma manispaa, ilemela mwz idara ya sekondari 0788957262

Njoo Nachingwea mjini, mkoani Lindi nije Morogoro mjini, Mvomero , kibaha au dar. Weka namba zako za cm nitakutafuta. Idara secondary
 
njoo mahenge mkoa wa morogoro,ndugu yangu aje arusha jiji,arusha dc au babati mjini.idara ya sekondary.0687648684
 
njoo mahenge mkoa wa morogoro aje dar es salaam,morogoro mjini au ifakara.idara ya sekondary.mawasiliano 0652040227
 
Njoo Mlandizi (Kibaha vijijini) nije Kinondoni shule ya msingi. Ni PM kama unatafuta kuhama pia.
 
Chriss kihombo nipo mpwapwa dodoma anaetaka tubadilishane katika halimashauri za manispaa iringa mfindi na njombe call me 0683567367 idara msingi
 
Njoo Lushoto Nije Kati Ya Korogwe, Muheza, Tanga Mji,Kibaha, Dar, Moshi Manispaa Au Dodoma Manispaa. Idara Ya Elimu Sekondari. 0717008771/0683436242
 
Naomba kujua tarehe ya mwisho tamisemi ya kkupokea maombi ya barua za uhamisho ni lin.
 
Npo Lindi natafuta Mwl wa kubadilishana nae kutoka mkoa wa Pwani au Morogoro..0658001368
 
Nipo Singida vijijini idara msingi natafuta Mwalimu WA kubadilishana nae mkoa WA MBEYA morogoro IRINGA NJOMBE iliye tayari nipm kwa mawasiliano
 
Back
Top Bottom