WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Anayetaka kuja mwanza-Kwimba, mimi nije wilaya za Kyela, Mboz , Mbarali, Mbeya vijijin, Mbeya manispaa, Rungwe, Ileje au Busokelo. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97
 
Njoo Lushoto Nije Kati Ya Korogwe, Muheza, Tanga Mji,Kibaha, Dar, Moshi Manispaa Au Dodoma Manispaa. Idara Ya Elimu Sekondari. 0717008771/0683436242
 
Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Mwalimu uliye mkoa wa mwanza wilaya ya Magu au misungwi njoo mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya rombo huduma zote zipo kwenda moshi town elfu mbili miatano kwenda arusha elfu 5 kama uko serious nicheki tufanye michakato faster au mjulishe rafiki yako aliyeko maeneo hayo anayetaka kuna Kilimanjaro idara ya secondary.contact 0769 737386.poa
 
😀 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
NDUGU
Mwalimu Umetafuta wa kubadilishana na hujafanikiwa? Na umekata tamaa amka sasa na ufanikiwe ili kuhame mwezi wa kwanza mwaka 2016 njoo uungane na walimu wenzio waliofanikiwa kuhamia watakako karibu group watsap kwa kiingilio nafuu
Wasiliana na admn KWA
0768948179
 
Mwalimu njoo kilimanjaro wilaya ya rombo nije mwanza wilaya ya magu,misungwi,ilemela au nyamagana niko serious nitafute tuanze mchakato january tuhame,contact 0769 737386.mjulishe na mwenzio tudaidiane idara ya secondary.
 
Back
Top Bottom