Habari wandugu, kwa aliye tayari aje kanda ya ziwa RORYA- MARA nije kati kusini mikoa ya IRINGA, NJOMBE na RUVUMA idara ya secondary nicheki kwa 0762802437.
 
ChembelNaenda kigoma kibondo aje Mbeya/Njombe/Iringa idara msingi 0715904249 nipo kibondo taja wilaya za mikoa ulioitaja
 
Idara ya msingi niko kasulu natakuja mikoa ya kaskazini wilaya yoyote.
Arusha. Kilimanjaro manyara
 
Mwl MIPAWA idara msingi yupo DODOMA-CHAMWINO anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka RUVUKA-SONGEA(V) au mjini.
No:0757388041
0658812152
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Njoo kisarawe pwani nije mwanza jiji idara msingi 0784248981 au 0714934760.saa1 tu hadi dar shoping unafanyia dar
 
Habari wandugu, kwa aliye tayari aje
kanda ya ziwa RORYA- MARA nije
kati kusini mikoa ya IRINGA, NJOMBE
na RUVUMA idara ya secondary
nicheki kwa 0762802437.
 
njoo MWANZA MAGU, me nije ARUSHA, ARUMERU, MANISPAA, au arusha vijjn, idara msingi, mawasiliano, 0763003128, 0789296522, na 0753360401
 
njoo KATAVI mpanda mjin nije MBEYA AU RUKWA WILAYA YOYOTE.
CM NO 0759160284
 
Habari wandugu, kwa aliye tayari aje
kanda ya ziwa RORYA- MARA nije
kati kusini mikoa ya IRINGA, NJOMBE
na RUVUMA idara ya secondary
nicheki kwa 0762802437.
 
Mwl CHAMI idara Msingi yupo TANGA-PANGANI anatafuta mwl mwenzake wakubadirishana nae kutoka MOSHI(V) au MJINI
No:0715867945 au 0763997869
 
Mwl idara msingi yupo SENGEREMA MWANZA anatafuta mwl mwenzake wakubadilisha nae kutoka MOSHI-MJIJI au VIJIJINI au HAI au ARUSHA
No:0784442953 au 0769880600
 
Njoo MUSOMA MJINI nije MBEYA / IRINGA/ NJOMBE/ SOMGWE. Idara SEC. 0762333621 / 0683698554
 
Kama unahitaji kuja Geita kutoka dar moro pwani tuwasiliane 0718115812
Idara ya msingi
 
Njoo Nachingwea mkoani Lindi nije Pwani au Morogoro. idara ya sekondari. Naomba unitumie private message
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…